www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 22, 2014

WEMA KAMA ZAMANI.

Mrembo na mwigizaji wa filamu za bongo Wema Isaac Sepetu amefunguka na kusema kuwa pamoja na kunyang'anywa vitu na mpenzi wake wa zamani amesema kuwa hana shida tena kwani mpenzi wake diamond anakwenda kununua kila kitu kilichochukuliwa.


siku za hivi karibuni Wema amejikuta kwenye mkasa huo baada ya kutangaza kurudiana na mpenzi wake wa zamani diamond.




No comments:

Post a Comment