www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 17, 2014

SHIJA KUACHIA LAZY BOY.

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu Mwigizaji wa filamu hapa nchini Deogratius Shija anatarajia kuachia filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la LAZY BOY


Katika filamu hiyo Shija amewashirikisha wasanii mahiri kama vile Jackline Wolper “gamble" Saimon Mwapagata” Rado" na Joseph mteme "Baga" Shija anasema kuwa kimya chake kilikuwa kina mshindo mkubwa sana kwani lazy boy ni moja ya filamu Kali sana.


Shija amewataka mashabiki wake wakae tayari kuipokea  Lazy boy itasambazwa na kampuni ya Steps Entertainment.


No comments:

Post a Comment