www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 15, 2014

KALI YA MONALISA.

Mwigizaji wa siku nyingi na nyota wa kundi la zamani la Nyota Ensemble "mambo hayo" Yvone cherry” Monalisa" amewashauri wasanii wenzake kutoanika mambo yao hadharani . Monalisa amesema kuwa si busara kwa msanii ukaweka mambo yako hadharani na kufahamika na watu.


monalisa ni msanii pekee hapa nchini asiyekuwa na kashfa kwenye magazeti pendwa.kwasasa mwanadada huyu anatamba katika tamthilia ya siri ya mtungi.

No comments:

Post a Comment