www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 2, 2014

UCHAGUZI WA BONGO MOVIE WAANZA KWA MBWEMBWE

Uchaguzi wa viongozi katika club ya bongo movie unit umeanza kwa mbwembe baada ya viongozi wanaotarajia kugombea nafasi mbali mbali kupewa nafasi ya kumwaga Sera mbele ya wapiga kura wao leo katika viwanja vya Leaders club.


Nafasi zinazogombewa ni M/kiti ,Makamu m/kiti katibu,katibu msaidizi na mweka hazina nafasi hizo zilikuwa zimeshikwa na m/kiti ni VINCET KIGOSI "ray"makamu m/kiti IRENE UWOYA katibu alikuwa ni CHIKI MCHOMA na mweka hazina alikuwa SINGLE MTAMBALIKE "Richie Richie".

Watu wanaopewa nafasi ya kushinda ni DR CHENI anayegombea nafasi ya M/kiti wa Club na ISSA MUSA anagombea nafasi ya katibu wakati WILLAM MTITU naye anagombea nafasi ya M/kiti wa club uchaguzi huo unatarajia kufanyika Jumapili hii ya tarehe 5 January 2014.




No comments:

Post a Comment