www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 4, 2014

CHUCHU HANS AWASHANGAZA BONGO MOVIE

Msanii wa filamu hapa nchini leo ameshangaza wasanii wenzake wa filamu baada ya kuingia viwanja vya leaders akiwa na gari la VINCET KIGOSI aina ya land cruiser VX wengi hawakuamini kumuona Chuchu Hans akiwa kwenye gari la Ray.


Siku za hivi karibuni ray na CHUCHU HANS inasemekana wamekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na kusababisha penzi la Ray na Mainda kuvunjika.


No comments:

Post a Comment