www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 14, 2014

VIDEO YA TUPOGO BADO SANA.

Msanii wa mziki wa bongo fleva Omary Nyembo "Ommy Dimpoz" amesema video ya wimbo wake wa tupogo bado hajaiandaa mpaka baadae kidogo. 
 Ommy dimpoz anatarajia kuachia audio ya nyimbo wake mpya muda wowote.wimbo wa tupogo ni moja ya nyimbo Kali zinazopigwa katika redio mbali mbali hapa nchini.


No comments:

Post a Comment