www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 10, 2014

MPOTO AWAITA

Msanii maarufu wa nyimbo za mashairi nchini Mrisho Mpoto ameachia kibao chake kipya kijulikanacho kama WAITE ambacho kwa sasa kinapigwa katika redio zote hapa nchini.


Mrisho Mpoto ni msanii ambaye amejipatia umaarufu mkubwa katika nyimbo yake ya salamu zangu Mjomba. Kwasasa Mrisho anamiliki bendi ya Mjomba band. 



Siku za hivi karibuni mrisho alitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la songea kwa tiketi ya Chadema.



No comments:

Post a Comment