www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

Tetesi za Mastaa wa Movie

Hizi ni Tetesi waweza kuzikubali au kuzifanyia kazi!











Kuna tetesi zimeenea kitaa na kila mahali kuwa Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu alisusiwa kumzika babake mzazi na wasanii wenzie wa Bongo Movie kwa kile kilichoelezwa kuwa ni yeye kutokupenda kujihusisha au kushiriki katika misiba ya wenziwe.

Hii ndo hali halisi ya mastaa wetu wa bongo movie japo hatujaweza kuwapata live watuthibitishie hilo.

Staa wa Bongo Movie Hashim Kambi kumleta Msanii maarufu wa Ghana "Van Vicker".




Tetesi zilizotufikia katika meza yetu ni kuwa Staa wa Bongo Movie Hashim Kambi anatarajia kumleta nchini msaniii

 

 

 maarufu  kwa jina la  Van Vicker kutoka nchini Ghana.

No comments:

Post a Comment