www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

April 28, 2014

WILLIAM MTITU APATA PIGO

william mtitu  ambae ni muigizaji na mtayarishaji wa filamu  limepata pigo baada ya kumpoteza baba yake mzazi mzee John Cosmas Mtitu dunia jana katika hospital ya Muhimbili hapa jijini da es salaam.

 mungu ailaze roho ya marehemu  John Cosmas Mtitu mahala pema peponi amen




April 26, 2014

HUU NDIYO UGONJWA UNAOSUMBUA MASTAA WETU WENGI HAPA BONGO.

Unaweza kuamini ukiambiwa kuwa, umaarufu hapa Bongo unakuja na rangi yake ya kipekee, hata kwa watu wanaochipukia na kutamani kuwa maarufu siku moja, wanaamini kuwa, ili kufanikiwa ni lazima kwanza uwe na rangi nyeupe ya ngozi yako, huwezi kushangaa kwa hili sababu hata Lupita Nyong’o pamoja na kufanikiwa kuwa mwanamke mwenye mvuto mwaka 2014, naye alikuwa anaamini hilo alivyokuwa mdogo.


Hapa kwetu Bongo imekuwa kama ugonjwa vile wa kuambukizwa kati ya watu maarufu na hata wale wanaochipukia, kujikuta wanatumia kila hali kubadilisha ngozi yao, wapo wasanii wengi sana na watu maarufu, ambao hutoweza amini uonapo  jinsi walivyokuwa hapo nyuma na hivi sasa wanavyoneka, kama ulikuwa hujui hili ni kwamba endapo mtu akibadilika namna hii, ni vigumu kabisa kurudi hali yake ya zamani ya uhalisia.
Watu Wengi maarufu wamejikuta wakijutia kujibadili haswa pale miaka inavyozidi kwenda, kutokana na madhara yanayo wakumba kwenye ngozi zao hizo, kwa asilimia kubwa madhara yake yanatibika, ila pesa yake ya matibabu ni ndefu, jambo ambalo ni cost kubwa sana kuanza kujitibu ni bora kujiepusha kabisa na mambo hayo ya urembo wa muda.Hizi ni baadh tu ya picha za wasanii wetu wa hapa Tzee ambao hutoweza amini jinsi walivyobadilika, kabla na baada ya kupata umaarufu.  


Diva Loveness.


 Wema Sepetu.


Ray-C.




April 25, 2014

DAUDI MICHAEL DUMA NA KINYONGO

Daudi duma ndani ya Filamu “KINYONGO" apo utakutana na washiriki wazoefu akiwemo Bi.Mwenda ,Captorado na wengne kibao.hii siyo ya kukosa pata nakala yako mapema 



KINYONGO COMING SOON 




MTUNISY WA BONGO MOVIES ASABABISHA VUZUGU


FILAMU ya msanii Mtunisy yasababisha vurugu kubwa sokoni wadau wanasema filamu inyosubiriwa kwa hamu sokoni ni Tom Boy yani imeshika chati mpaka wamachinga wanasema kutakuwa na vurugu siku ikitoka hiyo filamu, Ni kwa mujibu wa mmachinga muuza CD Kariakoo, Ama kweli itatisha!

Mtunisy Director/ Actor At Zest Films Productions Tanzania






April 4, 2014

KANUMBA DAY

Ni Mwaka wa pili sasa tangu msanii nguli wa Filamu hapa Nchini Marehemu Steven Charles Kamumba kutangulia mbele za haki.
Familia ya Kanumba imeendaa misa maalumu siku ya tarehe 7 katika kanisa la KKKT kimara ili kuadhimisha miaka miwili tangu kutangulia mbele za haki.

Baadae kutakuwa na tamasha kubwa lililopewa jina la kanumba day litakalofanyika  katika ukumbi wa Dar Live Mbagala.