www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

February 20, 2014

MALIKIZOH ANUSURIKA KIFO

Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva anayefanya shuhuli zake za muziki nchini Australia Kiza Aseli”malikizoh” amenusurika kifo baada ya gari lake kupata ajali nchini humo. 


Chanzo cha habari kinasema Malikizoh alikuwa ametoka studio kurecodi  single yake mpya inayokwenda kwa jina la I`M NOT A PLAYER ANY MORE.
Malikizoh alipata ajali hiyo alipokuwa akimkwepa mtu aliyekuwa akiendesha baskeli na kukimbizwa hospital.
 Hali ya malikizo inaendelea vizuri.