www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

May 2, 2014

HATARI SANA SASA NI ZAMU YA JACKLINE WOLPER NA JOKATE KIDOTI

Ushoga wa jackline wolper Na jokate kidoti wapamba moto, wwadau waushitukia... Waoh to good for them, kama tunavyofahamu kuwa hawa mastaa of bongo wametokea mbali na wameweza kukaa kwenye game kwa mda mrefu, kwa wolper ki2 kilichompatia umaarufu ilikuwa ni filamu zetu na kidoti alishawah kuwa miss tz namba 2.


 kutokana na ustaa wao basi wakajikuta wamekuwa karibu sana , kiasi ambacho baadhi ya kutoka kwako huwa wanatokaga pamoja, so good for them na mashabiki huwa wanafurahi sana pindi wanapoona mastaa kama hvyo wakiwa wako pamoja kwa muda mrefu.


No comments:

Post a Comment