www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 13, 2014

SNURA AWAPA RAHA WATOTO YATIMA

Msanii wa filamu na mwimbaji wa mziki wa bongo fleva Snura Mushi Jana katika kusheherekea Siku yake ya kuzaliwa aliamua kwenda kwenye kituo cha kulelea watoto yatima na kula nao bata.

 Snura ambaye ameisha cheza filamu kibao kwa sasa Mwana Dada huyu mwenye kiuno cha ajabu anapokuwa jukwaani anatamba na kibao chake kijulikanacho kama nimevugwa. Happy birthday Snura
.



No comments:

Post a Comment