www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 6, 2014

STEVEN NYERERE AWAPA RAHA BONGO MOVIE

Mwenye kiti mpya wa bongo movie club bwana Steven Nyerere amewapa raha wasanii wenzake baada ya kuandaa tafrija Kali baada ya kuteuliwa kuwa m/kiti mpya wa bongo movie.

  Baada ya kutangazwa kuwa mshindi Steve Nyerere aliwaambia wanachana wote wa bongo movie hakuna kuondoka na kuwanunulia vinywaji pamoja na muziki kutoka kwenye bendi ya mwanamuziki TID.





No comments:

Post a Comment