www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 20, 2014

NASRI SPIDI MIA.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya NASRI TAJIRI ni msanii anayekuja kwa kasi ya ajabu na kuwafanya wasanii wakongwe wa muziki wa bongo fleva kumuogopa.

Nasri ambaye  siku hizi za karibuni amekula mkataba wa TSH 15,000,000 na moja ya makampuni makubwa hapa nchini  kwa  sasa anatamba na kibao chake kinachojulikana kama NYAMIHELA.


Ngoma hiyo ya NYAMIHELA kwasasa inapigwa kila REDIO na TV.




No comments:

Post a Comment