www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 7, 2014

MZEE KAMBI AKERWA NA MASTAR WAKIKE.

Mwagizaji wa filamu hapa nchini Mzee Hashim Kambi anasikitishwa na kitendo cha wasanii wa kike hapa nchini kuwa ni watu wasumbufu sana wanapokuwa location. Mzee Kambi ameendelea kufunguka bila kumtaja jina la star yoyote ila amesema karibu wasanii wote wa kike ni wasumbufu " msanii anaweza wakati mwingine akakuzimia simu na asije kabisa kufanya kazi na wakati mwingine akaja amechelewa na akifika hana Mudi ya kufanya kazi" Mzee Kambi amesema matatizo haya ya wasanii wa kike hufanya garama za production kuongezeka mara mbili. Mzee Kambi ameshauri wasanii ufike wakati wakajitambua wao wakina nani?

No comments:

Post a Comment