www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

January 28, 2014

MAYUNGA KUJA NA SUGAR CANE

 Msanii chipukizi katika kiwanda cha filamu bongo ambaye anatoka Mkoani Geita Suleiman Mayunga anakaribia kuachia filamu yake inayokwenda kwa jina la sugar cane.

 Suleiman Mayunga Negena katika filamu yake  ya kwanza.



Mayunga ambaye alifanya vizuri sana katika filamu ya mistake vision amesema nia ya kufanya vizuri ni kutaka kuwaonyesha watanzania na waandaaji wa filamu za bongo kuwa Mkoani Geita kuna vipaji kibao.




No comments:

Post a Comment