www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

November 12, 2013

RC AFANYA SHEREHE KUMSHUKURU MUNGU KUACHA UNGA


TETESI ZA MASTAA


Msanii wa Bongo Fleva Rehema Chalamila maarufu kama RC  amefanya sherehe kwa ajili yakumshukuru Mungu kuweza kuachana na madawa ya kulevya.





 Sherehe  hizo alizifanyia katika hospitali ya mMwananyamala  ambapo ni kituo cha kunywea dawa zinazosaidia  kutoa hamu ya  kutumia madawa yakulevya.



RC alisema  kuwa hadi sasa amemaliza mwaka mmoja bila kutumia madawa na anaendelea vizuri.

No comments:

Post a Comment