www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

November 10, 2013

Nyumba ya msanii wa Bongo Movie yaungua Afrika Kusini

Nyumba ya msanii wa Bongo Movie Bwana Fortunatus Kasomfi yaungua Afrika Kusini



Habari zilizotufikia kutoka jiji la Johannesburg ncini Afrika kusini zinasema kuwa masanii wa Bongo Movie Fortunatus Kasomfi anaeishi nchini  humo  aliunguliwa na nyumba juzi  ambapo iliteketea kabisa kama ambavyo inaonekana pichani.

                                                    Bwana Fortunatus Kasomfi










Bwana Fortunatus Kasomfi akiwa chini ya Steps Enetertainment amecheza filamu kadhaa zikiwamo "Bad Friends", "My Nephew", na "Money Transfer".


Tunampa pole sana ndugunyetu kwa maafa yaliyomkuta.

No comments:

Post a Comment