www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

November 12, 2013

Anti Ezekiel Arejea toka Dubai kwa "mumewe"

Tetesi za mastaa

 Katika harakati zakusaka mtoto Anti Ezekieli arejea kutoka Dubai


 
 Msanii wa filamu za bongo ANT EZEKIELI amerejea kutoka dubai alipokwenda kwa mume wake Sunday Demonte.Inaaminika kuwa yuko katika mkakati kabambe wakusaka mtoto kwa udi na uvumba kipindi hiki.


Picha na matukio mbali mbali yakimhusisha Aunt Ezekiel.




 

Kwa mujibu wa Anti Ezekieli alikwenda Dubai kwa mume wake kwa ajili ya kutafuta mtoto.
Kwani kwa hivi sasa anaitaji kuitwa mama.

No comments:

Post a Comment