www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

November 15, 2013

Rado Asema anamkubali sana Deogratius Shija kwakutunga filamu



 Simon Mwapagata”Rado”  amefunguka  na  kusema  kuwa  anamkubali sana Deogratius  Shija  katika  kuandika hadithi za filamu.  





Deogratius  shija  ni  mmoja  kati  ya  wantunzi  waliomuandikia  hadhithi  nzuri  na kumuweka  juu  katika  filamu  ambayo  hatokuja kuisahau  Maisha   yake  ni filamu  ya “ JUMBA  BOVU”,  kwani  katika  filamu  hiyo  ndio ilimfanya  acheze  kama  dereva  tax.







 Anaeongea  kwa lafudhhi  ya  kisukuma  baada  ya  filamu  hiyo  kufanya  vizuri   ndipo  alipoendeleza  kutumia lafudhi hiyo katika   filamu   nyingine kwa  sasa  anataka  kuiachia  filamu  itakayo  kwenda  kwa  jina  la “MADAME”  ambayo  pia  Deogratus  Shija  ndio  mtunzi  wa  filamu  hiyo.





Ndani  ya  filamu  hiyo  utakutana na  Simoni  Mwapagata  kama  Rado , Wema  Issac  Sepetu  kama   MADAME ,  na mastar  wengine  kibao!
Hii siyo ya kukosa.

No comments:

Post a Comment