www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

November 4, 2013

Deogratius Shija Katika taswira tofautitofauti

Ni mwanzo tu  hapa ila natarajia kukusimulieni kwa awamu safari yangu toka utotoni hadi kufikia leo hii kuitwa shija.



                                       Deogratius Shija akiwa  na kundi la Dream Art Family 
wakiwa mazoezini enzi hizo!

                                            Picha hizi juu na chini ni mojawapo ya picha zilizotumika katika Movie ya Jumba Bovu



                                 Hapa ni siku ya kwanza Shija alipoingia London


                                    Shija akiwa katika mazoezi ya mwisho akijiinda kuelekea Uingereza

                                     Moja ya picha iliyotumika katika sinema ya Jumba Bovu

                             Shija akiwa katika moja ya maonesho nchini Uingereza

                          Shija akiwa katika stesheni ya London Waterloo

                           Shija akiwa na kundi la Parapanda

                        Shija akiwa na Mr. Willy Brighton aliyekuwa amewaalika kuhudhuria tamasha la sanaa nchini Uingereza.

Hapa shija na wenzake wakijiandaa kwa ajili ya onesho la usiku nchini Uingereza

No comments:

Post a Comment