www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

December 3, 2013

MZEE YUSUF AMPA TAFU PENDO.

 Mwimbaji wa mziki wa taarabu Mzee Yusuf amempa tafu msanii chipukizi wa mziki  Pendo Mushi , katika wimbo wake Mpya uitwao UBAYA NA UWE.


Pendo ameamua kumshirikisha Mzee Yusufu katika wimbo wake huo kwasababu Mzee Yusuf ni msanii mzuri na asiye na majivuno.
Mbali na kuwa muimbaji Pendo  ni msanii wa filamu za bongo anayefanya vizuri kwenye tasinia ya hiyo.

No comments:

Post a Comment