www.shijamovies.blogspot.com

www.shijamovies.blogspot.com

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460

Marine Tanzania Swimming Club Call: +255 655 461 460
Get Swimming Training from Experts www.marineswimmingclub.blogspot.com

December 5, 2013

FURSA NA AZAM TV.

Azam  group  Ijumaa 29/11/2013 imezindua  kituo cha tv  kinachojulikana kama Azam TV. Katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni naibu  waziri wa sayansi na teknolojia MH January 
Mheshimiwa Makamba amesema kuanzishwa kwa kituo hicho ni fursa kwa wasanii wa muziki na filamu kupeleka kazi zao na kuziuza ili zionyeshwe kwenye kituo hicho. Wakati baadhi ya wasanii wakifurahia fursa hiyo  lakini imekuwa tofauti kwa wasanii wa filamu .


 wasanii wa filamu wanaouza kazi zao katika kampuni ya STEPS ENTERTAINMENT  wamesema kuwa fursa hiyo haitawafaidisha  kwani kazi zao wameuza na haki zao zote  kwenye kampuni hiyo, kwa hiyo atakaye faidika  na fursa hiyo ni STEPS ENTERTAINMENT.
AZAM TV BURUDANI KWA WOTE.



No comments:

Post a Comment