Ni msanii mwenye ups and downs
nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia
kwenye movie lakini kabla ya movie alishawahi kuuza chakula na biashara mbali
mbali in order to survive.
Shilole katika pitapita zake
kwa bahati mbaya alijikuta akilazishwa mapenzi wakati akiwa na umri mdogo sana,
msanii huyo akiwa na miaka 14 tu alijikuta akiwa na mimba . “nilipata mimba
nikiwa mdogo sana yani hata maziwa ndio yanaanza sipendi kitu hiki kimtokee
msichana mwengine kwa kweli na pia kwa wale wanaume wenye tamaa plz wanapoteza
future za watu” alisema shilole.
Baada yakupata mtoto wake huyo,
aliangaika nae na baadae alijikuta akiolewa na mtu mwingine na kuweza kupata
mtoto wake wa pili akiwa na umri wa 18 na mwisho wa siku alitoka ndani ya ndoa
na kuhamia Dar na kuanza maisha upya.
No comments:
Post a Comment