Mwanamuziki
wa muziki wa bongo fleva anayefanya shuhuli zake za muziki nchini Australia Kiza
Aseli”malikizoh” amenusurika kifo baada ya gari lake kupata ajali nchini humo.
Chanzo cha
habari kinasema Malikizoh alikuwa ametoka studio kurecodi single yake mpya inayokwenda
kwa jina la I`M NOT A PLAYER ANY MORE.
Malikizoh alipata ajali hiyo alipokuwa
akimkwepa mtu aliyekuwa akiendesha baskeli na kukimbizwa hospital.
Hali ya malikizo inaendelea vizuri.
Hali ya malikizo inaendelea vizuri.